×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga amekariri msimamo wake wa kuwapa vijana wasiokuwa na kazi shilingi elfu sita kila mwezi

25th October, 2021

Kiongozi wa chama cha Odm Raila Odinga amekariri msimamo wake wa kuwapa vijana wasiokuwa na kazi shilingi elfu sita kila mwezi wa kujikimu kimaisha. Akizungumza mjini kisumu katika ziara ya kuhamasiha umma kujiandikisha kama wapiga kura, Odinga alisemawale wanaomkejeli wanakosea, kwani akiwa waziri mkuu, aliona mianya iliyokuwa ikipoteza pesa za umma na kwa hivyo ana hakika kuwa atatimiza ahadi yake.

.
RELATED VIDEOS