×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenye Madeni Waponea: Rais asema waondolewe kwenye CRB kwa kipindi cha mwaka mmoja

20th October, 2021

Wakenya waliochukua mikopo isiyozidi shilingi milioni 5 kuanzia mwezi oktoba mwaka jana na kushindwa kuilipa kwa wakati wamepata afueni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuzitaka mamlaka zinazohusika kutowa orodhesha kuwa miongoni mwa walioshindwa kuilipa na shirika la kufuatilia wasiolipa mikopo CRB kwa muda wa miezi kumi na miwili ijayo. Vile vile akielezea wasiwasi kuwa juhudi zilizofanywa kuimarisha uchumi huenda zikadidimia kutokana na ongezeko la bei ya mafuta nchini.

.
RELATED VIDEOS