×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Majonzi yatanda Elementaita baada ya mwanamume wa miaka 49 kudaiwa kumuua msichana wa miaka 16

20th October, 2021

Majonzi yalitanda katika kijiji cha miti mingi huko Elementaita eneo bunge la Gilgil baada ya mwanamume wa miaka 49 kudaiwa kumuua msichana wa miaka 16 aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha tatu kwa kumdunga kisu kabla ya kujitia kitanzi. Inadaiwa kuwa Salim said, alimuua Naomi Nyarangi mapema leo hii kiini cha mauaji hayo kikiwa hakijulikani. Salim baadaye alijitia kitanzi huku duru zikiarifu kuwa wawili hao walikuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla ya kisa hicho.

.
RELATED VIDEOS