x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Makala maalum ya Akili ni Afya: Visa vya kujitoa uhai kwa sababu ya afya ya akili nchini Kenya

13, Oct 2021

Baadhi ya mataifa yametupilia mbali sheria zinazoangazia kujitoa uhai kama kosa la jinai. Hii ni mojawapo ya njia ya kupunguza visa hivyo kama njia ya kuwahimiza waathiriwa kutafuta matibabu. Hata hivyo barani Afrika haswa Kenya, swala hili ni zito kwa wale wanaopatikana na hatia ya kutaka kujitoa uhai. Mwanahabari wetu Saada Hassan analivalia njuga swala hili katika msururu wa Makala maalum ya Akili ni Afya.

Feedback