.
16th September, 2021
Naibu Rais William Ruto kwa mara ya kwanza amejitokeza na kukiri kwamba kumekuwa na msukosuko kati yake na Rais Uhuru Kenyatta na kusema kuwa yuko tayari kufanya maridhiano bila masharti yoyote. Hatua ya ruto inawadia siku moja baada ya ma-askofu wa kanisa katolik I kushinikiza marrdhiano kati ya Ruto na Rais Kenyatta wiki chache baada ya Rais kumtaka Naibu wake ajiuzulu.