×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Muungano wa NASA umevunjika rasmi baada ya ANC, Wiper na Ford Kenya kutangaza kujiondoa kwao

3rd August, 2021

Muungano wa kisiasa wa nasa hatimaye umesambaratika, baada ya vyama vitatu kati ya vinne vilivyobuni muungano huo kuwasilisha rasmi barua ya kuuvunja muungano huo katika afisi ya msajili wa vyama. Viongozi wa vyama hivyo Musalia Mudavadi wa ANC, Kalonzo Musyoka wa Wiper na Moses Wetangula wa Ford Kenya wamesema sasa wamejiunga rasmi na muungano mpya wa One Kenya Alliance na kwamba hawana pingamizi zozote kufanya kazi tena na kiongozi wa ODM Raila Odinga.

.
RELATED VIDEOS