×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule zageuza madarasa kuwa mabweni ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha 1

2nd August, 2021

Utekelezaji wa kanuni za kudhibiti maambukizi ya virusi vya Covid?19 na ukosefu wa madarasa yakutosha, ni baadhi ya mzigo unaowakabili wakuu wengi wa shule baada ya wanafunzi wasiopungua milioni moja kujiunga na kidato cha kwanza. Tayari shule kama vile Maseno School na ile ya wasichana ya Jomo Kenyatta iliyoko kaunti ya Nakuru, zimegeuza maktaba na baadhi ya madarasa kuwa mabweni.

.
RELATED VIDEOS