×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zaidi ya wanafunzi Milioni 1 wameanza safari yao ya elimu ya sekondari kwa kujiunga na kidato cha 1

2nd August, 2021

Zaidi ya wanafunzi milioni moja waliokamilisha elimu ya shule ya msingi wameanza safari yao ya elimu ya sekondari kwa kujiunga na kidato cha kwanza hivi leo. Kwa wengi muhula wa kwanza uliwaanzia vizuri baada ya kupata nafasi lakini kwa baadhi mambo hayakuwa mazuri baada ya kunyimwa nafasi ya kuingia shuleni kutokana na sababu mbali mbali. Kulingana na mwenyekiti wa muungano wa wazazi nchini pta nicholas maiyo, wazazi wengi walilazimishwa kununua sare za shule kutoka kwenye maduka yaliyoidhinishwa nashule husika, baadhi ya wanafunzi wakinyimwa fursa kwa sababu ya alama walizopata katika mtihani wa kitaifa.

.
RELATED VIDEOS