x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Afya Telezi: Mpango wa Afya kwa wote unayumba, mpango huo ulinuia kuwanufaisha wakenya wote nchini

01, Aug 2021

Kwenye maswala ya afya mwaka wa 2018 utakumbuka kwamba Rais Uhuru Kenyatta alitangaza mpango wa afya bora na nafuu kwa wote yaani Universal Health Coverage kama mojawapo ya ajenda zake nne kuu ? mpango ambao ulinuia kuhakikisha kwamba wakenya wanapokea matibabu ya hali ya juu na kwa bei nafuu kabla ya mwaka 2022. Miezi michache tu imesalia kabla ya mwaka 2022 kuwadia, je, hali iko vipi tangu jaribio la mpango huo katika kaunti nne za Isiolo, Nyeri, Machakos na Kisumu?

Feedback