.
1st August, 2021
M. Warungongo ndiye mshindi wa awamu ya 6 ya CEO's Golf Day iliyoandaliwa katika uwanja wa gofu wa Thika. Awamu hiyo ilidhaminiwa na Amref Flying Doctors huku Moses Chemboi, Ann Kanyori and Chelogoi Danny wakiwa kati ya wachezaji waliostadika sana