.
1st August, 2021
Kwa kipindi cha wiki moja sasa, kiwango cha maambukizi ya virusi vya korona kimeongezeka na kufikia asilimia kumi na nne nukta nne, kiwango ambacho ni cha juu kuwahi kushuhudiwa tangu janga hili lianze. Idadi ya wagonjwa wanaolazwa katika vitanda vya wagonjwa mahututi inazidi kupanda hasa jijini Nairobi.