x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Bwawa la Kirandich: Seneta Moi awaonya wanakandarasi baada ya mradi wa ujenzi kukwama

01, Aug 2021

Seneta wa Baringo na mwenyekiti wa chama cha Kanu Gideon Moi, amewaonya vikali maafisa katika wizara ya maji kuhusiana na kukwama kwa awamu ya pili ya ujenzi wa bwawa la Kirandich lililoko eneo la Kabarnet. Moi aliyekuwa akizungumza katika kanisa la AIC kabarnet, amesema kuwa mradi huo ulioratibiwa kugharimu shilingi bilioni 2, ulikuwa unalenga kuwanufaisha wakazi wa eneo hilo. Amezitaka idara husika, kuwachukulia hatua kali wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha zilizokusudiwa mradi huo.  

Feedback