x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Raila Odinga: Hio NASA kazi yake ilikwisha, lakini huko mbele tutakuja pamoja

01, Aug 2021

Kiongozi wa chama cha Odm Raila Odinga amesema chama chake kitaunda miungano na vyama vingine vya kisiasa vyenye falsafa sawa na ya Odm baada ya kukutana na waakilishi wa chama hicho kote nchini. Akizungumza hii leo katika kaunti ya Vihiga, Odinga amesema wakati umewadia wa kutembea njia mbadala ya kisiasa baada ya muungano wa Nasa kusambaratika. Kwa upande wake Naibu Rais William Ruto aliendelea kutetea mfumo wake wa kiuchumi wa Bottoms Up ambao umekejeliwa na wapinzani wake akisema unalenga kuwainua kiuchumi walala hoi.  

Feedback