.
22nd June, 2021
Bingwa wa Afrika wa mashindano ya Safari Rally Carl Tundo amekamilisha mazoezi yake kujiandaa kwa mashindano ya dunia yanayoandaliwa nchini kenya kuanzia tarehe 24?27 mwezi huu. Dereva huyu mwenye tajriba kuu hana hofu yoyote dhidi ya madereva chipukizi wa ulaya.