Mwanariadha Jared Momanyi, hakati tamaa licha ya kukosa tiketi ya kufuzu Olimpki
22nd June, 2021
Kando na sifa inayoambatana na kushamiri katika taaluma ya riadha nchini, Jared Momanyi ni miongoni wa wale walionawiri zaidi na hata kupata ajira kutokana na kipaji hicho.