.
22nd June, 2021
Wachezaji wa AFC Leopards wana imani ya kushinda japo taji moja msimu huu baada ya kufika fainali ya dimba la FKF pamoja na kuwa miongoni mwa timu zinazowania taji la ligi kuu ya soka nchini. Hii leo walipokea fedha za marupurupu