x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shule iliyofungwa wiki jana Nyandarua baada ya wanafunzi 16 kuambukizwa Korona kufunguliwa

22, Jun 2021

Shule moja iliyoko kaunti ya Nyandarua ambayo ilifungwa mapema wiki iliyopita baada ya wanafunzi 16 pamoja na walimu 4 kuthibitishwa wana virusi vya korona, itafunguliwa kwa wanafunzi wote wakati maafisa wa afya watadhibitisha kuwa wanafunzi hawako kwenye hatari ya kuambukizwa virusi hivyo shuleni humo. Kulingana na mshirikishi wa Nyandarua Benson Leparmorijo amesema shule hiyo imeanza kuwapokea wanafunzi kwa awamu, ikiwa tayari wanafunzi wa darasa la tano hadi saba wamerejea. 

Feedback