x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chama kipya kwa jina Chama ya Mapatano Kenya imezinduliwa rasmi mjini Eldoret

21, Jun 2021

Siasa na kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2022 zikiendelea kushika kasi nchini, chama kipya kwa jina Chama ya Mapatano Kenya imezinduliwa rasmi mjini Eldoret.Kinara wa chama hicho Damaris Too amesema kuwa chama hicho kinalenga kuwapa vijana na wanawake fursa ya kuwania nyadhifa ya uongozi. Akihutubu kwenye hafla ya kukizindua chama hicho, Damaris Too aidha amesema kuwa chama hicho kinalenga kuangazia maslahi ya wakenya hasa wakati huu ambapo uchumi umeonekana kuzorota.Too amefutilia mbali madai kuwa chama hicho kunahusiana na mojawapo ya vyama vikubwa nchini japo akidokeza kuwa kinaweza kushirikiana na vyama vingine vyenye ajenda sawa

Feedback