21st June, 2021
Zogo kuhusu sheria ya uchaguzi inayowahitaji wagombea wa viti mbali mbali vya uongozi kuwa na shahada ya chuo kikuu, sasa limeelekea mahakamani. Katika kesi iliyowasilishwa mahakamani na wakenya wawili, wamedai kuwa sheria hiyo inawanyima wengi haki ya kuchaguliwa ambayo inalindwa na katiba.