.
20th June, 2021
Kamati ya Olimpiki nchini imetia saini mkataba wa maelewano na wizara ya michezo kufanikisha ufadhili na usimamizi wa vikosi vya taifa vitakavyowakilisha kenya kwenye mashindano ya Olimpiki nchini Japan. Mkataba huo unafafanua wajibu wa kila kitengo kitakachohusishwa kwenye maandalizi.