.
20th June, 2021
Vigogo wa mbio za pikipiki nchini wamefurahishwa na idadi ya madereva inayozidi kuongezeka kila msimu iki inaashiria ukuaji wa mchezo huo. Takriban madereva sabini na watatu walishiriki raundi ya tano ya mashindano ya kitaifa yaliyoandaliwa uwanjani Jamhuri jijini Nairobi.