.
20th June, 2021
Timu ya Tusker iliilaza kariobangi sharks bao moja bila jibu kwenye mechi ya ligi kuu iliyochezwa ugani Ruaraka Nairobi. kwingineo Gor Mahia imeilaza Sofapaka goli moja bila jibu huku Posta Rangers ikiridhia sare tasa dhidi ya Bidco United.