×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hafsa Aokolewa: Msichana aliyekuwa ametekwa nyara Eastleigh amepatikana Kayole

20th June, 2021

Maafisa wa polisi wamemuokoa msichana mwenye umri wa miaka 23 aliyetekwa nyara katika eneo la Makadara siku tano zilizopita na kumtia mbaroni mshukiwa mmoja anayedaiwa kuwa miongoni mwa watekaji nyara. Msichana huyo kwa jina Hafsa Mohamed alipatikana katika nyumba moja eneo la matopeni mtaa wa Kayole jijini Nairobi baada ya kuomba usaidizi kutoka kwa watoto waliokuwa karibu na nyumba hiyo.

.
RELATED VIDEOS