19th June, 2021
Shirikisho la riadha nchini ak limetaja kikosi cha wanariadha 41 watakao wakilisha Kenya kwenye mashindano ya Olimpiki. Anavyoarifu Jeff Mogire, kwenye kikosi hicho Kenya imeshirikisha mbio za mita mia moja kwa mara ya kwanza kwa miongo miwili.