×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Standard Group PLC yaongoza mchakato katika upanzi wa matunda arobaini na moja ya kupandikizwa

19th June, 2021

Shirika la Standard Group PLC sasa limeshirikiana na shirika la uhandisi la Ashut na lile la Fruity Schools Africa katika mpango unaonuiya kuafikia upanzi wa matunda arobaini na moja ya kupandikizwa ukipenda grafted katika shule mia tatu thelathini na saba za msiningi na sekondari zilizoko Nairobi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo, kiongozi wa mradi huo na mwanzilishi wa Fruity Schools Africa amesema mpango huo haupanii tu kuongeza idadi ya miti zilizopandwa ila pia kuboresha siku za usoni za watoto hao kupitia matunda. Mkuu wa mahusiano mema wa shirika la Standard Group Plc Charles Kamathi amesema kituo cha runinga kitazindua kipindi kiitwacho tunda tunda kama njia ya kuhimiza mpango mzima wa upanzi wa miti.

.
RELATED VIDEOS