×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nguvu za KANU: Tawi la Nairobi la Kanu lakutana kujadili mikakati watakayotumia 2022

19th June, 2021

Wagombea wa nyadhifa mbalimbali katika katika chama cha KANU tawi la Nairobi wamekutana leo kujadili mikakati watakayotumia katika uchaguzi mkuu ujao. Wamesema madhumuni ya mkutano huo ni kujiimarisha kisiasa na kuiweka katika nafasi nzuri ya siasa za ushindani katika uchaguzi mkuu wa 2022. Kadhalika walitangaza kuzindua mfumo wa digitali wa kujiandikisha. 

.
RELATED VIDEOS