×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazazi wapata afueni baada ya serikali kupunguza karo ya shule za sekondari za umma

19th June, 2021

Wazazi wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kupunguza karo ya shule za sekondari za umma kwa hadi shilingi elfu nane. Kwenye barua iliyoandikiwa wakurugenzi wa elimu katika kaunti, katibu wa elimu, Dkt Julius Jwan, amesema wizara ya elimu imechukuwa hatua hiyo kufuatia kupungua kwa mwaka mpya wa masomo kutoka thelathini na tisa hadi majuma thelathini. 

.
RELATED VIDEOS