19th June, 2021
Naibu Rais Willaim Ruto amesema kuwa hamna haja ya kuifanyia katiba marekebisho na kusisitiza kuwa kenya inahitaji kuboresha uchumi kuliko jambo lingine lolote. Ruto alisema hayo alipofanya ziara yake katika kaunti ya Pokot magharibi akionekana kujipigia debe kwa matayarisho ya uchaguzi mkuu wa 2022.