x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana wa Kirinyaga amejitenga na kauli ya Amos Kimunya kuhusu fedha kwa eneo bunge la Kiambaa

16, Jun 2021

Gavana wa Kirinyaga Ann Mumbi? Kamotho amejitenga na kauli ya kiongozi wa wengi bungeni, Amos Kimunya, aliyesema kwamba serikali haitatenga fedha za maendeleo kwa eneo bunge la Kiambaa endapo mgombea wa chama cha Jubilee hatochaguliwa. Gavana Mumbi amesema kwamba ni haki ya kila mkenya kutoa maoni yake katika taifa hili na kwamba hakuna yeyote anayepaswa kutishia au kuzima mitazamo ya wengine katika nchi inayojivunia demokrasia. Amesema kauli ya Kimunya ni yake binafsi na bali si msimamo wa chama cha Jubilee.

Feedback