x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Seneta Gideon Moi asema wamekuwa wakipokea taarifa za uharibifu wa vifaa vya mawasiliano aina hii

16, Jun 2021

Kuna haja ya kuja na suluhu ya kudumu na mapendekezo ya kuimarisha na kulinda nyaya za mawasiliano ya kidijitali, simu na miundo msingi ya mawasiliano mingine ili isiharibiwe. Mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano katika bunge la Seneti Gideon Moi, amesema kwamba wamekuwa wakipokea taarifa za uharibifu wa vifaa vya mawasiliano aiana hii kutoka kwa halmashauri ya mawasiliano nchini, jambo ambalo ni changamoto kwao. Moi alizungumza katika ufunguzi wa warsha iliowahusisha kamati yake, wizara ya mawasiliano na maswala ya vijana katika hoteli moja mjini mombasa. Warsha hio inaazimia kupokea mapendekezo ya kuhifadhi miundo mbinu ya mawasiliano ili ziwe madhubuti zaidi katika nyanja za mawasilino nchini na kimataifa. 

RELATED VIDEOS


Feedback