x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uchafuzi wa Plastiki: Utafiti umeonyesha athari za plastiki kwa akina mama wenye mimba

16, Jun 2021

Uchafuzi wa mazingira kwa kutupa plastiki ovyo, sasa ni hatari kubwa kwa binadamu, kulingana na utafiti uliofanywa mwezi januari mwaka huu. Chembe chembe za plastiki zilipatikana katika kondo au placenta baada ya mwanamke kujifungua swala ambalo linahatarisha maisha ya watoto wanaozaliwa. Aidha mazingira, ikiwemo ardhi, mito, maziwa 

RELATED VIDEOS


Feedback