×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ligi ya Taifa(NSL): Timu ya Nairobi Stima yabamizwa mabao 3-2 dhidi ya Kibera Black Stars

16th June, 2021

Katika ligi ya taifa ya NSL timu ya Nairobi Stima ilishuka hadi nafasi ya 15 kwenye jedwali baada ya kubamizwa mabao 3?2 dhidi ya Kibera Black Stars. Katika matokeo mengine Fc Talanta ilitoka sare ya 1?1 dhidi ya MCF, Mwatate nao wakaambulia sare ya 2?2 dhidi ya Aps Bomet.

.
RELATED VIDEOS