.
16th June, 2021
Gor mahia ilipanda hadi nafasi ya 4 katika ligi kuu nchini baada ya kuirindima Mathare United 1?0.bao hilo lilifungwa na Lennox Ogutu katika dakika ya 40. Bidco United nao walichunwa moja bila dhidi ya Kcb, Sofapaka walitoka are ya 2?2 dhidi ya Afc Leopards huku Wazito wakiiburuza Kariobangi Sharks 2?0.Gor mahia ilipanda hadi nafasi ya 4 katika ligi kuu nchini baada ya kuirindima Mathare United 1?0.bao hilo lilifungwa na Lennox Ogutu katika dakika ya 40. Bidco United nao walichunwa moja bila dhidi ya Kcb, Sofapaka walitoka are ya 2?2 dhidi ya Afc Leopards huku Wazito wakiiburuza Kariobangi Sharks 2?0.