x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shule ya msingi ya Uhuru katika kaunti ya Nyandarua yafungwa kutokana na maambukizi ya Korona

16, Jun 2021

Shule ya msingi ya Uhuru kaunti ya Nyandarua imefungwa kwa muda baada ya wanafunzi 16 na walimu wanne kupatikana na virusi vya Korona. Kwa mujibu wa waziri wa Afya katika kaunti hiyo John Mungai sampuli zilikusanywa kutoka shule hiyo baaada ya baadhi ya wanafunzi kuonesha dalili ya kuwa na virusi hivyo. Haya yanajiri huku waziri wa usalama wa kitaifa Dr. Fred Matiangi akisema kwamba huenda serikali ikaratibu vigezo vipya vya kudhibiti virusi vya korona katika eneo la magharibi na Nyanza.

RELATED VIDEOS


Feedback