×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hafla ya kukuza biashara miongoni mwa wanajumuia ya Afrika mashariki yaandaliwa Tanzania

12th June, 2021

Katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki, Dkt. Peter mathuki ambaye amekuwa ofisini tangu april 25 mwaka huu, amekutana na wakurugenzi watendaji wa makampuni ya biashara nchini Tanzania, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam, ikiwa ni mkakati wake wa kutatua kero linalokwamisha ustawi wa biashara baina ya nchi sita wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki….hafla hiyo ya wakurugenzi watendaji iliyoandaliwa na baraza la biashara la Afrika mashariki (EABC), vyama vya biashara, viwanda na kilimo Tanzania na Zanzibar, inatazamiwa kuleta suluhu katika biashara baina ya nchi wanachama.

 

.
RELATED VIDEOS