×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi katika eneo la mlima Kenya wameshikilia watakuwa katika serikali ijao liwe liwalo

12th June, 2021

Viongozi katika eneo la mlima Kenya na hasa wanaounga mkono rais Uhuru Kenyatta wameshikilia watakuwa kwa serikali ijayo licha ya nipe nikupe ambayo imekuwa ikishuhudiwa…katika semi kwenye mkutano eneo la Nyeri baadhi yao wanasema eneo hilo huenda likatoa mgombea wa urais mwaka ujao kwenye uchaguzi mkuu…hata hivyo kikosi kingine hasa kutoka maeneo ya mlima kenya mashariki wamesisitiza kuunda chama chao kama anavyoarifu daniel kariuki

.
RELATED VIDEOS