x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kuna Nini Uarabuni? Familia moja inahofia kwamba huenda maisha ya mwanao yamo hatarini Saudi Arabia

09, Jun 2021

Familia moja katika eneo la Moi's Bridge kaunti ya Uasin Gishu inaishi kwa wasiwasi ya kumpoteza mwanao aliyekwenda kufanya kazi nchini saudi arabia baada ya mawasiliano kukatika kwa kipindi kirefu. Kutokana na ripoti za mateso na hata mauaji ya waafrika wanaokwenda uarabuni kufanya kazi sasa familia ya Jane Wamboi inahofia kwamba huenda maisha yake yamo hatarini.

RELATED VIDEOS


Feedback