x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KQ yaandikiana mkataba na FIA kufanya kazi kwa pamoja katika mikakati ya kuboresha WRC

09, Jun 2021

Kampuni ya ndege Kenya Airways imeandikiana mkataba na shirikisho la mbio za magari duniani FIA kuboresha na kukuzaji vipaji kwa vijana katika makala ya mwaka huu ya WRC yatakayoandaliwa humu nchini mwezi huu. Afisa mkuu mtendaji wa mbio za magari za WRC Phineas Kimathi alidokeza umuhimu wa udhamini huo kwa ukuzaji wa vipaji zaidi katika mashindano haya ya magari kwa kuweka Kenya katika ramani ya dunia. Madereva hao walichaguliwa kutokana na weledi wao katika mashindano ya magari.  

Feedback