Dereva Andrew Muiruri ajiandaa kushiriki kwa mara ya kwanza katika mbio za WRC
9th June, 2021
Huku mashindano ya dunia ya Safari Rally yakisubiriwa kuanza katika muda wa siku 16, Andrew Muiruri mmoja wa wakenya watakaoshiriki ana imani kenya ina fursa ya kushamiri. Kauli mbiu yake ni mcheza kwao hutuzwa.