.
9th June, 2021
Bingwa mtetezi wa kombe la FKF cup Bandari FC wamebanduliwa nje ya dimba hilo baada ya kuduwazwa na Equity FC katika robo fainali. Katika mechi nyingine AFC Leopards wameingia nusu fainali baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Tusker FC.