x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mashahidi watatu katika kesi ya mauaji ya Tecra Muigai sasa watatoa ushahidi wao faraghani

09, Jun 2021

Mashahidi watatu katika kesi ya mauaji ya Tecra Muigai mwanawe mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza vileo cha keroche sasa watatoa ushahidi wao faraghani. Hakimu Zainab Abdul ametoa agizo hilo baada ya upande wa mashtaka kutoa ombi hilo kwa kuhofia usalama wa mashahidi hao kwani wote ni wakazi wa lamu anakotoka mshukiwa mkuu Omar Lali ambaye alikuwa mpenzi wa Tecra. Omar alikamatwa na kuachiliwa huru mwezi julai mwaka jana baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kumwondolea mashtaka ya mauaji.

RELATED VIDEOS


Feedback