×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Njia Panda ya BBI: Baadhi ya wabunge wataka njia mbadala, ipo kesi mahakamani kuhusu BBI

5th June, 2021

Vikwazo vinazidi kuzikabili juhudi za kurekebisha katiba kupitia mchakato wa Bbi. Japo majaji saba wa mahakama ya rufaa wataanza kuisikiza kesi ya kupinga uamuzi wa majaji watano wa mahakama kuu walioharamisha mchakato mzima wa Bbi, rufaa nyingine imewasilishwa kuongezea uzito wa juhudi za kufutilia mbali Bbi. Hizi zinatishia dhamira yake Rais Uhuru Kenyatta kukuza utangamano wa taifa kupitia marekebisho ya katiba.

.
RELATED VIDEOS