×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uongozi wa GEMA: Wazee wa Gema wazidi kukosoana, jana utakasaji wa madhahabu ulifanywa

5th June, 2021

Kiongozi wa muungano wa wazee nchini Kung'u Muigai amewasuta vikali wazee kutoka baraza la wazee wa kikuyu walioshiriki zoezi la kusafisha hekalu la Mukurwe Wa Nyagathanga kufuatia kutawazwa kwa spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi kama msemaji wa jamii ya Mlima Kenya. Akizungumza wakati wa hafla ya mazishi ya Rufas Rutere aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wazee la Njuri Ncheke, Muigai amesema wazee hao ni wa kujitakia na kuwataka wakazi wa Mlima Kenya kuwapuuza. Viongozi wa kisiasa aidha wameunga mkono kutawazwa kwa Muturi.

 
 
.
RELATED VIDEOS