x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri wa Kawi, John Munyes atakiwa kufika bungeni kueleza ni kwa nini bei ya mafuta imeongezeka

02, Jun 2021

Kamati ya bunge la Seneti kuhusu Kawi, imemwagiza Waziri wa Kawi na Madini John Munyes kufika mbele yake mnamo tarehe 14 mwezi juni, la sivyo atatozwa faini au ilani ya kukamatwa itatolewa. Kulingana na mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Seneta wa Nyeri Ephraim Maina, lengo kuu la kikao hicho ni kujadili suala la kuongezwa kwa bei ya mafuta katika miezi ya hivi karibuni.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback