x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Faith Kipyegon bingwa wa olimpiki katika mbio za 1500m ana imani kufanya vyema kwenye Olimpiki,Tokyo

02, Jun 2021

Faith Kipyegon Chepngetich bingwa wa olimpiki katika mbio za 1500m ana imani kuwa atafanya vema kwenye olimpiki mwaka huu. Kama tu wanariadha wengine wengi walivyotuarifu, faith huwa na changamoto ya kupata uwanja ya kufanyia mazoezi yake lakini anasalia kuwa na ndoto ya kutetea taji lake kwenye 1500m.

RELATED VIDEOS


Feedback