.
2nd June, 2021
Faith Kipyegon Chepngetich bingwa wa olimpiki katika mbio za 1500m ana imani kuwa atafanya vema kwenye olimpiki mwaka huu. Kama tu wanariadha wengine wengi walivyotuarifu, faith huwa na changamoto ya kupata uwanja ya kufanyia mazoezi yake lakini anasalia kuwa na ndoto ya kutetea taji lake kwenye 1500m.