×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Je, kuna ukweli ndani ya maneno katika hotuba ya Rais ya sherehe za madaraka hapo jana akiwa Kisumu?

2nd June, 2021

Katika hotuba yake ya sherehe za madaraka hapo jana akiwa Kisumu, Rais Uhuru Kenyatta alitoasemi kadha kuhusu uchumi ambazo zililenga kuipigia debe serikali yake. Lakini baadhi ya kauli hizo sasa zinatiliwa shaka. Baadhi ya yale aliyogusia ni ikiwemo kuimarika kwa uchumi maradufu tangu achukue hatamu za uongozi. Hata hivyo, alidokeza kwamba, baada ya mahakama kuharamisha uchaguzi mkuu wa 2017, Kenya ilipoteza shilingi trilioni moja ndani ya siku 123 baada ya uamuzi huo. Je, kuna ukweli ndani ya maneno hayo?

.
RELATED VIDEOS