×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kesi ya rufaa ya BBI kusikilizwa na jopo la majaji saba kati ya Juni tarehe 29 na Julai tarehe 2

2nd June, 2021

Vikao vya kusikiliza kesi ya rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu kuharamisha mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mswada wa BBI vitaanza tarehe 29 mwezi huu na kukamilika tarehe mbili mwezi ujao wa Julai. Katika kikao cha kutathmini maswala yanayohusu kesi hiyo rais wa mahakama ya rufaa daniel musinga amesema majaji saba wa mahakama hiyo watasikiliza na kutoa uamuzi kuhusu kesi hiyo akiwaonya wahusika kukoma kuizungumzia nje ya mahakama.

.
RELATED VIDEOS