x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Sherehe za Madaraka zilivyokuwa Kisumu; mihemko imeshuhudiwa hapa na pale

01, Jun 2021

Kumeshuhudiwa purukashani, mbwebwe na vioja katika sherehe za mwaka huu za madaraka katika uga wa Jomo Kenyatta mjini Kisumu. Ilibidi polisi kutumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wakazi wa mtaa wa Kondele waliokuwa wakiandama msafara wa Rais Uhuru Kenyatta akielekea katika eneo la mkutano. Ndani ya uwanja wa mkutano afisa wa jeshi la wanamaji alizirai kwenye gwaride na afisa mwingine wa jeshi la wanahewa akikosa kutua kwa parachuti ilivyotayarajiwa na kujeruhiwa vibaya. Katika kioja kingine mwanamume mmoja alibebwa hobela hobela na maafisa wa usalama alipojaribu kukimbia na kumkaribia Rais Uhuru Kenyatta.  

Feedback