29th May, 2021
Kafyu ya siku sitini iliyotangazwa mnamo aprili tarehe kumi na nne na waziri wa usalama wa taifa, Dkt Fred Matiangi, inakamilika leo usiku wa manane. Wakenya wengi hasa wafanyabiashara wanatarajia serikali itangaze kanuni mpya ambazo hazitavuruga maisha na shughuli zaidi.